Neylicious Tonny
Member
- Jun 1, 2015
- 6
- 1
Natafuta sehemu ya kujifunza ujasiriamali wowote.,kwa mtu aliyejiajiri katika ujasiriamali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta sehemu ya kujifunza ujasiriamali wowote.,kwa mtu aliyejiajiri katika ujasiriamali.
Natafuta sehemu ya kujifunza ujasiriamali wowote.,kwa mtu aliyejiajiri katika ujasiriamali.
Karibu GREEN WORLD INTERNATIONAL COMPANY utafundishwa ujasiliamali na pia utafanikiwa kwa maarifa utakayo yapata hapa. Kwa mawasiliano zaidi PIGA 0654158574/ 0765353056 ASANTE SANA
Karibu GREEN WORLD INTERNATIONAL COMPANY utafundishwa ujasiliamali na pia utafanikiwa kwa maarifa utakayo yapata hapa. Kwa mawasiliano zaidi PIGA 0654158574/ 0765353056 ASANTE SANA
Dah! nafiliri mtoa post anahitaji msaada zaodi ya kujifunza ujasiriamali.
Kwa uzoefu nilionao na nikikumbuka maneno wa msanii maarufu 'Mjomba kuwa asiyejua aendako hawezi kupotea' Mtoa post unapaswa kutambua yafuatayo.
1:Ujasiriamali unaoutaka una nyanja nyingi sana,nyingine unazozipenda na nyingine usizozipenda.
2:Unapaswa kuchagua nyanja zile tu unazozipenda.Hii itakusaidia kufanya vizuri na kutopoteza muda kwa mambo ambayo huna 'interest' na pengine hutokuja kuyatumia maishani.
3:Fuata ushauri wa wadau waliokupatia ukijua unataka aina gani ya ujasiriamali na mahali bapo unaweza kupata mafunzo ya ujasiriamali unaoutaka.
Kila la kheri.