KIDTVTC
Senior Member
- Jan 8, 2019
- 176
- 32
Kwanza naomba niwape pole kwa mapambano ya kila siku kuhakikisha maisha yanaenda.
Mimi ni mwanafunzi wa Degree chuo kimojawapo hapa Dar katika course ya IT.
Katika maisha kila mtu anakuwa na lengo lake kuwa baada ya muda fulani nataka kuwa katika level hii ya maisha.
Personally naomba msaada kwa wale wenye ofisi, kampuni au mtu binafsi ambaye anahitaji mtu wa IT katika muda wa ziada.
Kama nilivyosema hapo awali, mimi ni mwanafunzi ila napenda sana kujifunza ukiacha na maisha ya chuo nataka kuishi uhalisia wa maisha katika hii fani yangu.
Najua wanaojihusisha na haya mambo katika hili jukwaa ni wengi. Lengo kubwa ni kupata uzoefu ili baada ya kumaliza chuo ni niwe na sehemu ya kuanzia naamini kama nitapata sehemu hakika ujuzi wangu na uzoefu utaongezeka.
Any way IT ni pana hivyo basi mimi naweza au najua kufanya vitu vifutavyo:
- Graphic design kutengeneza (logo, flayers, brochures, business cards etc).
- Networking: creating network and network administration.
- Programming hapa najua language hizi c++, Java, JavaScript, PHP bila kusahau mark up languages html na css.
- Website development hapa ninaujuzi wa kutengeneza website kwa kiasi fulani kupitia lugha za hapo juu.
Furthermore ufundi wa computer na simu
- Computer repair and maintenance on software and hardware.
- Phone repair and maintenance on software and hardware.
Hapa wale ndugu zangu mafundi simu nipo tayari kupata ujuzi kutoka kwenu sababu mimi nimejifunza mwenyewe ndio maana naona ni muda sahihi wa kuanza kufanya kazi ya mtu.
Wapo watakaosema kwanini nitafute msaada kama najua vitu si bora nifungue ofisi au niombe kazi.
Ndugu zangu binafsi naona hii ni njia sahihi ya mimi kupata uzoefu pia huku nikijipanga kuhusu mtaji ili nikimaliza chuo nijue wapi nitaanzia.
Kuhusu malipo:
Nimekuja kuomba msaada sihitaji malipo. Lengo langu ni kupata uzoefu ila kama utaona unilipe nayo ni nzuri japo sio priority kwangu.
Jamani naombeni msaada wenu kwa wale watu wenye ofisi, kampuni, mtu binafsi na wale ndugu zangu mafundi simu na PC.
Please kama unaweza nisaidia kindly njoo PM.
Ahsanteni na kila la kheri kwenye mapambano ya hivi vita vya maisha.
Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Nia asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi,Kilimanjaro.Habari wakuu!
Mimi ni kijana mwenye diploma in Information Technology (IT), natafuta ajira iliyo halali ama mahali popote dar es salaam ambapo naweza kufanya kazi kwa kujitolea ili niweze kupata uzoefu.
Pia, kama kuna fundi wa computer / mobile phone nitashkuru kama atanipa nafasi ya kujumuika nae ili niweze kujiimarisha zaidi kwenye ufundi.
Jinsia: Me
Umri: 24
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Information Technology.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini.
Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika vituo vyetu visuatavyo.
1. SHULEYA AWALI NA KITUO CHA VIJANA MAJENGO,MOSHI (Hii bi shule inayo fundisha watotot wadogo wa kati ya miaka 2-6
Tunahitaji waalimu wa kujitole.
2. MAJENGO VOCATIONAL TRAINING CENTRE, Ni kituo cha mafunzo ya ufundi stadi ,kilimo na ujasiriamali.
KINATOA MAFUNZO KWA AKINA MAMA,VIH=JANA NA JAMII ZA KATA ZA kahe.
3. MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT,CHO CHA UFUNDI STADI NA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILINO,Kipo moshi mjini.
4.HIMO ICT CENTRE;
Hiki ni kutuo cha mafunzo ya TEHAMA ,huduma za internet na stationary, kulicho HIMO-MOSHI
KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA WASILIANE NASI AU ATUME BARUA NA CV ZAKE KWA EMIAL...info@tareo-tz,org au simu no.
o717157659/0754469894.
Kwa wanaohitaji watume CV zao kwa email: