Natafuta sehemu za bata Tabora

Zipo wapi na kiingilio na mademu vipi?
Mtu anayeulizia sehemu ya bata hasa katika jukwaa hili la kitaifa hawezi kuulizia kiingilio. Wewe ni mlugaluga wa wapi?
Kuna miji/mikoa nchi hii huhitaji kuuliza kiingilio wala bei ya vinywaji...Tabora ni mojawapo.
 
Ulizia sehemu inaitwa "Shamba la nyege" pembeni ya WhatsApp,

Hapo utakua umemaliza matatizo yako yote
 
Tabora sehemu za bata nilizotajiwa ni hizi Oxygen, Shimoni lakini zote nimeziona za kawaida sana , sasa wenyeji nitajieni sehemu za bata kwa huku tabora.
Mkuu me sijakusoma vizuri, yaani unamaanisha unatafuata wale bata wa kufuga nyumbani, au wale bata mzinga wa porini?
 
 
sina hata mia mkuu..hapa naandkka na mm uzi wa kuchangiwa nauli...nimepata matatizo kidg..
Hilo nililijua tangu awali.

Hakuna anayejiweza kifedha akaona wivu mtu akipewa msaada, wenye tabia hii ni maskini wenzetu.
 
ungespecific kabisa useme sehem zenye malaya
Hiyo hela aitoe wapi mkuu?

 
Hilo nililijua tangu awali.

Hakuna anayejiweza kifedha akaona wivu mtu akipewa msaada, wenye tabia hii ni maskini wenzetu.


πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...atleast ungekaa kimya usiniqoute kunijibu pumba kama hizo...atleast ungeconnect dots kuwa hawa watu huenda wanataniana...ni kwel mm maskini sikatai...ila siwez andika uzi kuomba nauli..shenzy
 
Hivi ungekuwa nayo ungemchangia mzee wa matanuzi ya Tabora?


Ahhhhh....nimelizwa humu vzr sana..ss hv nimejifunza...namsikiliza then naachana naye..ila kuna dogo m1 best anahitaj msaada..hili itabidj nikushirikishe..!anauhitaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…