Mtu anayeulizia sehemu ya bata hasa katika jukwaa hili la kitaifa hawezi kuulizia kiingilio. Wewe ni mlugaluga wa wapi?Zipo wapi na kiingilio na mademu vipi?
Kuna miji/mikoa nchi hii huhitaji kuuliza kiingilio wala bei ya vinywaji...Tabora ni mojawapo.