Natafuta sehemu za bata Tabora

Natafuta sehemu za bata Tabora

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,454
Tabora sehemu za bata nilizotajiwa ni hizi Oxygen, Shimoni lakini zote nimeziona za kawaida sana , sasa wenyeji nitajieni sehemu za bata kwa huku Tabora.
 
Tajeni kuanzia club kali kali, sehemu zenye swimming pools etc
 
Tabora bana!!! Mkuu kuwa makini kuna watoto wa TPSC apo ni shida Kwa nyenyere.
 
Tabora sehemu za bata nilizotajiwa ni hizi Oxygen, Shimoni lakini zote nimeziona za kawaida sana , sasa wenyeji nitajieni sehemu za bata kwa huku tabora.
Mkuu shimoni sio mzee baba oxygen hapo mambo bien au belmonte kuleee kama yoote hivi ila kwa ss pako dolo watt wa tpsc wapo makwao wengine kwa akina nanii.
Mambo yako hiviii kama miez ya tisa hivi kiongozi
 
Shimoni sio kwa nini?
 
Back
Top Bottom