Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
kumbe ndo huyu?
afu apa anasemaje?
afu apa anasemaje?
![]()
Jumatatu U.E nimekosa ada nimeamua ku-postpone
Jumatatu UE itaanza ,nimekosa kabisa ada ya kulipa nimeamua ku postpone kuliko kuandika barua kufanya special exams September. Ubaya wa special exams ukifeli mitihani mitatu tu umedisco maana huwa haina sup. Ada inayohitajika ni laki sita na nusu. Sasa nimekuja kwenu kwa mawili, either...www.jamiiforums.com