Natafuta serious girl friend

Natafuta serious girl friend

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Awe mrefu wastani, elimu kuanzia form six, age asiwe zaidi ya 24years, rangi yoyote, asiwe mnene, awe mcha Mungu. Mwenye sifa hizi aniPM tafadhali au anicheck kwa email lushe2010@yahoo.com

Asanteni
 
Mhaya,mrangi,mnyiramba,msambaa au mzaramo?bikra au used!
 
Kajichagulie pale uwanja wa Fisi au nenda Tanzania gert Dodoma hasa kipindi hiki cha bunge wamekusanyana toka wholever the country.
 
Mi nadhani kupata 'serious' girlfriend inabidi mtafutaji awe serious pia. Na kuwa serious ni pamoja na kutokutafuta girlfriend kwenye mitandao.
 
Mi nadhani kupata 'serious' girlfriend inabidi mtafutaji awe serious pia. Na kuwa serious ni pamoja na kutokutafuta girlfriend kwenye mitandao.
<br />
<br />
hadi sasa nimekula NDUDE TANO from internet.........we shangaaa tuuuhhh
 
So far bila bila! Anyways natumai watakaojitokeza watakuwa serious,au nami nimwage cv yangu hapa?
 
Back
Top Bottom