Kwa imani yenu mnamtanabaisha nguruwe kama mnyama haramu na hata wewe ukakazia kuwa hafai anasababisha ushoga kitu ambacho hakiko "scientifically proved".
Kwa mujibu wa imani yenu Mbwa na nguruwe hamtakiwi hata kuwakaribia, wakati ngozi yake inatumika kwenye vitu muhimu na unavitumia ipasavyo labda pengine yawezekana bado haujanielewa ngoja nikupe mfano
Mfano mimi si mtumiaji wa samaki aina ya Kambare ambaye hana magamba na nimeshamuharamisha wakati huohuo mimi ni mpenzi sana wa kula chapati ambazo kuna ingredients za samaki hao tuseme ubongo wao je nitakuwa sijamla huyo samaki?😛
Na kwa utafiti unaoendelea wa nguruwe kutibu kansa ya ubongo, na matiti wataalamu wanasema dawa itakuwa ni ubongo wao kama utafiti wao utaishia kwenye matokeo mazuri.
Je mheshimiwa kwa watu wenye imani yako au wewe mwenyewe ukapata kansa mojawapo kati ya hizo mbili na dawa iliyotengenezwa kutibu imetokana na ubongo wa nguruwe 100% (Siombei mabaya juu ya afya yako ni mfano) hautakubali kutibiwa kisa imani yako?
Mkuu umesoma post no 97??.
Halafu unasema; " kwa imani yenu"--- sasa nikuulize kwa imani yetu ipi ??, ujue Qur'an na Biblia zinasema nguruwe ni haramu na hata maandiko ya dini ya kiyahudi yanasema nguruwe ni haramu, kifupi ni kwamba Mungu mwenyewe aliyemuumha huyo nguruwe a aliyetuumba sisi anatukataza kula nyama ya
huyo nguruwe sasa sisi nani zaidi ya Mungu aliyetuumba?!!.
Kwakuwa Mungu katupatia akili ya utambuzi ni juu yetu kutafakari kwanini katukataza kula kitimoto na kitimoto anayo faida gani kwetu??, hayo ndiyo maswali ya kujiuliza.
FAIDA ZA KITIMOTO;
Miongoni mwa wanyama wanaokurubiana na binadamu (close related in metabolism) nguruwe yupo karibu mno na mwanadamu na ndiyo maana kuna nyuzi za kushonea vidonda (stiching) hutumika aina fulani ya utumbo wa nguruwe uliotayarishwa kitaalamu, pia kama nilivyosema kuna baadhi ya dawa za magonjwa ya binadamu hupewa kwanza nguruwe kuangalia kama zinayo madhara na pia kujua kama zinafaa katika tiba kwa magonjwa ambayo ni common kwa nguruwe na binadamu kama mafua nk,
Wanasayansi zama hizi wamekuwa wakitafiti viungo vya nguruwe kama macho, maini, mafigo,moyo, mapafu, kongosho nk, kama viungo mbadala wa viungo vilivyodhurika vya binadamu na imeonekana kuna mafanikio makubwa sana pia mafuta ya nguruwe yanaweza kutumika kama malighafi katika viwanda vya kemikali kama kutengenezea sabuni na lubricants (vilainishi nk), kifupi nguruwe anayo manufaa ila binadamu ni mnyama MROHO kuliko wanyama wote ndiyo maana hasikii onyo la Mungu juu ya uharamu wa nguruwe.
HASARA ZA KULA NYAMA YA NGURUWE:- niliishaekeza hasara zake ila hapa nitazieleza tena kwa faida ya wengine;
Madume ya Nguruwe hayana wivu, kamwe huwezi kuona madume ya nguruwe yakipigana kugombea jike, jike akiwepo ni mali ya wote-- watu wanaokula nguruwe hawashughuliki na wala hakasiriki kabisa akisikia mkewe anagegedwa kwasababu anakuwa karithi tabia za kinguruwe.
Ukiweka pamoja madume ya nguruwe hata kama kuna majike ni aghalabu kuyakuta yakigegedana kinyume cha maumbile (ushoga)--- watu wanaokula nguruwe ni aghalabu kuwaona wakiwa na hizo tabia, yaani wanaambukizwa tabia ya ushoga kutoka kwa nguruwe kwa sababu kiasi fulani "we are close related to nguruwe" katika metabolism kwa sababu sisi sote ni "omnivorous" na ndiyo maana kula nyama ya nguruwe ni KARIBU sana na kula nyama ya mtu jinsi watu wanavyo sema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha na ndivyo ilivyo kwa nyama ya nguruwe kwani walaji wameibatiza kwa kuiita eti "mkuu wa meza".
Ulaji wa Nyama ya nguruwe unachochea sana ugonjwa wa kansa,yaani nyama yake imejaa "free radicals" na ukitaka mgonjwa wako wa kansa asipone wewe uwe ukimpa kitimoto.
Nguruwe anaambukiza magonjwa mengi ya minyoo kama nyama yake haikuandaliwa vizuri, kinyesi chake kimejaa wadudu wa kipindupindu na typhoid, mafuta yake yamejaa aina mbalimbali za sumu kwa sababu ndiyo store yake ya kuhifadhi sumu zitokazo na vyakula mbalimbali anavyokula na ndiyo maana huwezi kukuta nguruwe kafa kwa kuumwa na nyoka yeyote hata "black mamba" hawezi kumuua nguruwe, sumu ya 'mafuta" yake ukichanganya na sumu ya nyoka unapata "neutral".
Nyama ya nguruwe inayo madhara ya muda mrefu na mfupi, ya muda mfupi ni kwa wale wanaotokewa na mapele mwilini mara wanapokula na yale ya muda mrefu ni pamoja na kuambukizwa USHOGA na magonja ya cancer nk.
VYAKULA APENDAVYO NGURUWE.
Nguruwe ukimuwekea labda ugali na maharage na pembeni ukamuwekea nyama mbichi iliyooza inayotoa harufu mbaya na mafunza, kwanza atakula hiyo nyama iliyooza, inayotoa harufu mbaya na mafunza na akimaliza ndipo atakula huo ugali na maharage-- hii inaonyesha jinsi nguruwe alivyokuwa mchafu, na hata akishikwa na njaa hula watoto wake kitendo ambacho huweziona kwa wanyama wengine.
Sijafanya utafiti ili kuona kama "cannibalism" kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni kutokana na ulaji wa kitimoto kwa sababu nguruwe ni cannibalist.