Quarterpin
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,253
- 1,083
Serious wife
Umri wangu ni miaka 30,elimu chuo, dini mkristo RC ni mwajiriwa niko hapa dsm natafuta a descent woman ambae atakuwa wife mwenye sifa zifuatazo;
Awe na shahada ya kwanza au zaidi katika fani yoyote anaweza kua ameajiriwa au asiwe au mwaka wa mwisho chuo pia awe na proven academic excellence.
Awe mtu mwenye mtazamo wa kujifunza zaidi
Awe na umri kati ya miaka 22-27
Anaweza kua mweupe au maji ya kunde mrefu kidogo coz me mrefu pia.
Awe mkristo wa dhehebu lolote kabila lolote.
Atoke familia iliyo serious na inayomjua mungu na yy pia awe mcha mungu na asiwe na mtoto. Pia awe anayajua majukumu ya mama vizuri coz na mm ya baba nayajua.
Aliye serious naomba uni pm,
Nawasilisha.