Natafuta sex partner Gongolamboto

Natafuta sex partner Gongolamboto

JF isiwe jukwaa la kuamulia watu maisha yao au mtu akitaka kuishi atakavyo basi sisi tuwe na kimbelembele cha kujudge kwamba kakosea au kapatia according to our beliefs tulizopewa na mzungu au za kimapokeo au basi tu tunapenda sisi! Let it be a friendly place ambayo kila mtu anaweza kusema kitu na kuheshimiwa hata kama hatukipendi kwa standards zetu, bila kuogopa judgements hata kama ni anonymous

After all haya mambo yanafanyika kila kona hata nje ya nyumba zetu, tutakana ukweli hadi lini? Hapa tu navyotype sasa hivi mtoa mada huenda PM yake ishajaa wamama wanabook hadi bajeti yake ishabreak!

Ukweli ubaki ukweli na tuende na facts...
 
Maybe he is not ready for that..😂 Kuwa committed si mchezo inteli😂😂😂bora uangalie movie tuu
Probably he is 30-33 hapo and still yuko afraid na committed relationship?.

Ko hiyo gap hapo ni pipe and swipe, but till when!

Hata Kama huna 1, Kuna yule ambayo lazima mki Juana ata elewa fantasy yako.
Hii badilisha badilisha Kuna siku ita bounce back vibaya.

And yes I better watch movies, than being a piper and swiper.
 
Nenda pale Relini-Moshbar utawakuta wamejaa tele 24/7

Kataka kupatia hapa hapa mwenzio! Hatujui kwa nini hajaenda Moshi bar, so tumpe uhuru wake afanye anachotaka na kinachompa amani!
 
Probably he is 30-33 hapo and still yuko afraid na committed relationship?.

Ko hiyo gap hapo ni pipe and swipe, but till when!

Hata Kama huna 1, Kuna yule ambayo lazima mki Juana ata elewa fantasy yako.
Hii badilisha badilisha Kuna siku ita bounce back vibaya.

And yes I better watch movies, than being piper and swiper.

Kwani 30-33 ndio standard? Na imeandikwa wapi? Tunapenda sana maandiko ndo maana nayatumia, but kila mtu ana maamuzi na serikali yake kichwani kwake, sio lazima atumie na kifua kipana na mkwewe 😛
 
Kwani 30-33 ndio standard? Na imeandikwa wapi? Tunapenda sana maandiko ndo maana nayatumia, but kila mtu ana maamuzi na serikali yake kichwani kwake, sio lazima atumie na kifua kipana na mkwewe 😛
Hata vichaa Wana serikali zao kichwani, ila ndio wana ishia kurundikwa mirembe.

Na mbona una tumia nguvu kubwa kumjibia au ndio I'd yako mkubwa?
 
Hata vichaa Wana serikali zao kichwani,bila ndioa wana ishia kurundikwa mirembe.

Na mbona una tumia nguvu kubwa kumjibia au ndio I'd yako mkubwa?

Najaribu kuheshimu maisha/mawazo ya watu wengine bila kujudge situation yao mkuu! Najua sana kuna steretypes kibongobongo ila hata wewe naheshimu mchango wako! Sijasema ni halali anachosema wala hajakosea ila najua kawasemea wengi na sisi kama wanaJF tunapaswa kuheshimu mawazo ya watu wengine kama ambavyo wanaheshimu ya kwetu! Sorry kama nimekukwaza🙏🙏

Sina haja ya kuwa na ID zaidi ya moja kwani namuogopa nani mkuu? Tena anonymous japo kuna watu wananifahamu sana ila siogopi kusema nachifikiri au kuamini, ndio maana nimeshauri wawe na page yao tena ikibidi iwe ya kulipia ili wasiwakwaze watu wenye imani zao strong hapa
 
Mtu anaoa akishajipanga vizuri mzee, kuna right patner pia na commitment majukumu kibao, kama hajaoa muache kwanza afurahie maisha, ili mradi hajabaka
Ndiyo aanze kujizoesha kuloweka kwenye Kila ke muda huu

Msifikiri Wazee ma-playboy waliibuka hivi hivi, ni kwamba hao walianza kama mtoa mada

Wanakuwa wameshazoea kuloweka Kila shimo

Hata akija Kuoa hawezi kuridhika

Bad enough tunaishi kwenye ulimwengu ambao, maradhi yatokanayo na ngono zembe yamekuwa mengi kuliko enzi zetu za Mwaka 47
 
Hahahaah mkuu naona umeoverthink, hapa tunakutana watu wa kila namna nashauri wapewe pia jukwaa lao, hata kama litakua na subscription. Naamini mtoa mada kajitoa muhanga kama Gwajiboy kwenye mauaji na utekaji so hatuna haki ya kumbeza na kumdhalilisha, huenda kuwa watu 10k wanataka lakini wanaona aibu kusema. JF ni mfano wa jukwaa la freedom of speech kwa nchi yetu so inatakiwa litende haki na ionekane inatendeka! 😛😛

By the way sio kila mtu ana wito wa kuoa, wengine hawana hata mpango ila wanataka kudate, tusiwapangie na kimsingi hatuna haki hiyo, tuache watu waishi maisha wanayoyataka au kuyapenda
Huenda upo sahihi, lakini binafsi nimetoa angalizo Kwa kuona nguvu kazi inataka kupotea

Unajua ukiendekeza sana Chini, ni rahisi kuungwa kwenye grid ya Taifa na ikawa hasara kwake na Taifa zima

Si mnajua Trump amezuia ARVs eeh

Makinikeni
 
Huenda upo sahihi, lakini binafsi nimetoka angalizo Kwa kuona nguvu kazi inataka kupotea

Unajua ukiendekeza sana Chini, ni rahisi kuungwa kwenye grid ya Taifa na ikawa hasara kwake na Taifa zima

Si mnajua Trump amezuia ARVs eeh

Makinikeni

Mkuu wote tunaendekeza chini (japo definition ya kuendekeza nayo kila mtu anayo yake) ila hapa tunaongea mengine, tunafanyia tu chumbani tu ndo maana wenye akili wanashauri mambo ya chumbani yabaki private tu kwa kuwa kila mtu ana kichaa chake akikutana na mwenza wake! Ndio maana nashauri Max na team wawape tu chumba chao hata kama cha kulipia watakutana huko bila kumkwaza mtu hata wengine wanaoona aibu wakajifiche huko na maisha yataendelea tu kama jukwaa la dini lilivyo!
 
Najaribu kuheshimu maisha/mawazo ya watu wengine bila kujudge situation yao mkuu! Najua sana kuna steretypes kibongobongo ila hata wewe naheshimu mchango wako! Sijasema ni halali anachosema wala hajakosea ila najua kawasemea wengi na sisi kama wanaJF tunapaswa kuheshimu mawazo ya watu wengine kama ambavyo wanaheshimu ya kwetu! Sorry kama nimekukwaza🙏🙏

Sina haja ya kuwa na ID zaidi ya moja kwani namuogopa nani mkuu? Tena anonymous japo kuna watu wananifahamu sana ila siogopi kusema nachifikiri au kuamini, ndio maana nimeshauri wawe na page yao tena ikibidi iwe ya kulipia ili wasiwakwaze watu wenye imani zao strong hapa
Hapana huja nikwaza kabisa mkuu, majadiliano sio lazima mkubaliane wazo Moja.

Utofauti wa kimawazo ndio hunogesha mazungumzo.

Ume Nena Sawa sawa, I mean no malice to nobody.
Abijon
 
Back
Top Bottom