Kwani wapi nime sema au kushurutisha aoe?Kwani kuna umri maalumu uliowekwa kisheria kuoa?
Maybe he is not ready for that..😂 Kuwa committed si mchezo inteli😂😂😂bora uangalie movie tuuKuna mambo ni hilarious, a sexual partner ni kificho Cha kusema ana hitaji kahaba.
30 atafute decent girl wawe na committed relationship for the sake of their future.
Probably he is 30-33 hapo and still yuko afraid na committed relationship?.Maybe he is not ready for that..😂 Kuwa committed si mchezo inteli😂😂😂bora uangalie movie tuu
Nenda pale Relini-Moshbar utawakuta wamejaa tele 24/7
Probably he is 30-33 hapo and still yuko afraid na committed relationship?.
Ko hiyo gap hapo ni pipe and swipe, but till when!
Hata Kama huna 1, Kuna yule ambayo lazima mki Juana ata elewa fantasy yako.
Hii badilisha badilisha Kuna siku ita bounce back vibaya.
And yes I better watch movies, than being piper and swiper.
Hata vichaa Wana serikali zao kichwani, ila ndio wana ishia kurundikwa mirembe.Kwani 30-33 ndio standard? Na imeandikwa wapi? Tunapenda sana maandiko ndo maana nayatumia, but kila mtu ana maamuzi na serikali yake kichwani kwake, sio lazima atumie na kifua kipana na mkwewe 😛
Hata vichaa Wana serikali zao kichwani,bila ndioa wana ishia kurundikwa mirembe.
Na mbona una tumia nguvu kubwa kumjibia au ndio I'd yako mkubwa?
Anatakiwa akubali kubadirika haraka, otherwise atakuja kujifunza Uzeeni wakati huo afya ni mgogoro na hela zote ametumia kutomb***eaHuyu ni mpuuzi kichwani, yaani 30 bado ana hangaika kununua wanawake, kapanga halafu ana act Kama teenager.
Ndiyo aanze kujizoesha kuloweka kwenye Kila ke muda huuMtu anaoa akishajipanga vizuri mzee, kuna right patner pia na commitment majukumu kibao, kama hajaoa muache kwanza afurahie maisha, ili mradi hajabaka
Huenda upo sahihi, lakini binafsi nimetoa angalizo Kwa kuona nguvu kazi inataka kupoteaHahahaah mkuu naona umeoverthink, hapa tunakutana watu wa kila namna nashauri wapewe pia jukwaa lao, hata kama litakua na subscription. Naamini mtoa mada kajitoa muhanga kama Gwajiboy kwenye mauaji na utekaji so hatuna haki ya kumbeza na kumdhalilisha, huenda kuwa watu 10k wanataka lakini wanaona aibu kusema. JF ni mfano wa jukwaa la freedom of speech kwa nchi yetu so inatakiwa litende haki na ionekane inatendeka! 😛😛
By the way sio kila mtu ana wito wa kuoa, wengine hawana hata mpango ila wanataka kudate, tusiwapangie na kimsingi hatuna haki hiyo, tuache watu waishi maisha wanayoyataka au kuyapenda
Shukrani Mjukuu, kama Wazee tunatumia mvi tulizonazo katika kutoa Ushauri 🙏Ushauri mzuri sana babu, barikiwa
Huenda upo sahihi, lakini binafsi nimetoka angalizo Kwa kuona nguvu kazi inataka kupotea
Unajua ukiendekeza sana Chini, ni rahisi kuungwa kwenye grid ya Taifa na ikawa hasara kwake na Taifa zima
Si mnajua Trump amezuia ARVs eeh
Makinikeni
Ndio zile unge nikuta enzi zangu, enzi what? while you bewitched yourself.Anatakiwa akubali kubadirika haraka, otherwise atakuja kujifunza Uzeeni wakati huo afya ni mgogoro na hela zote ametumia kutomb***ea
Hapana huja nikwaza kabisa mkuu, majadiliano sio lazima mkubaliane wazo Moja.Najaribu kuheshimu maisha/mawazo ya watu wengine bila kujudge situation yao mkuu! Najua sana kuna steretypes kibongobongo ila hata wewe naheshimu mchango wako! Sijasema ni halali anachosema wala hajakosea ila najua kawasemea wengi na sisi kama wanaJF tunapaswa kuheshimu mawazo ya watu wengine kama ambavyo wanaheshimu ya kwetu! Sorry kama nimekukwaza🙏🙏
Sina haja ya kuwa na ID zaidi ya moja kwani namuogopa nani mkuu? Tena anonymous japo kuna watu wananifahamu sana ila siogopi kusema nachifikiri au kuamini, ndio maana nimeshauri wawe na page yao tena ikibidi iwe ya kulipia ili wasiwakwaze watu wenye imani zao strong hapa