Hahhhaa anacheza na moto sio.Nikushauri mkuu tafuta ndugu yako kijijini aje kukaa hapo. La sivyo majuto yake hautokuja kusahau niulize hadithi yake naijua mimi. Unacheza na moto.
Etwege ndo unamuamini sio.Mcheki Etwege
Nimeondoa mada mezani mkuu.Nimeshafuta comment!Ulisoma masharti ya kujiunga hapa JF?
Nipo tayari.Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai
Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba
Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa
Huduma za kijamii zipo za kutosha
Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
Utapiga kazi?Mshahara Tsh ngapi kwa Mwezi? Weka wazi.