Natafuta shamba heka 10 niuzie kama unalo

Natafuta shamba heka 10 niuzie kama unalo

We Mshamba Wa Kusini Mbona Wadau Wenye Mashamba wanajitokeza we umenyuti huwajibu.!

Una utani na Watu?
Mkongwe nachakata replies kulingana na hitajio afu ntaPM wadau kadhaa ili weekend moja twende tukaone mali.

Ni ngumu kumjibu kila mmoja ukifuatilia utaona na like reply zao
 
Back
Top Bottom