Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

Kemoli

Member
Joined
May 9, 2023
Posts
8
Reaction score
18
Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia.
Vigezo!
1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti
2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote
3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa eneo husika.
4. Liwe karibu na chanzo cha maji au eneo hilo water table iwe karibu kurahisisha uchimbaji wa visima.
5. Likiwa na mwinuko au kilima ndani itapendeza pia.
 
Nenda Tanzania Investment Center watakupa msaada zaidi ila mtaji usipungue 50 million
 
Kigezo namba 1 kwanin mkuu
 
Nenda Tanzania Investment Center watakupa msaada zaidi ila mtaji usipungue 50 million
Kwanini iwe milioni 50? Mbona mnapenda kuwatisha watu hivi? Yaani milioni hamsini kumiliki heka mia kwa hapa bongo kweli?
 
Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia.
Vigezo!
1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti
2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote
3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa eneo husika.
4. Liwe karibu na chanzo cha maji au eneo hilo water table iwe karibu kurahisisha uchimbaji wa visima.
5. Likiwa na mwinuko au kilima ndani itapendeza pia.
Nenda on ground, nenda Kibondo, Kasulu, Kankonko zama huko dani, tafuta utapata, acha kutafutia mashamba online. Kuna vitu vinahitaji uingie ground.
 
Back
Top Bottom