Kwanini iwe milioni 50? Mbona mnapenda kuwatisha watu hivi? Yaani milioni hamsini kumiliki heka mia kwa hapa bongo kweli?Nenda Tanzania Investment Center watakupa msaada zaidi ila mtaji usipungue 50 million
Ili iwe malisho kwa Wanyama hasa Mbuzi.Kigezo namba 1 kwanin mkuu
Kwanini iwe milioni 50? Mbona mnapenda kuwatisha watu hivi? Yaani milioni hamsini kumiliki heka mia kwa hapa bongo kweli?
Ni mpaka nifike Ofisini kwao ama hata kufanya Mawasiliano ya email ?Nenda Tanzania Investment Center watakupa msaada zaidi ila mtaji usipungue 50 million
Nenda on ground, nenda Kibondo, Kasulu, Kankonko zama huko dani, tafuta utapata, acha kutafutia mashamba online. Kuna vitu vinahitaji uingie ground.Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia.
Vigezo!
1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti
2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote
3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa eneo husika.
4. Liwe karibu na chanzo cha maji au eneo hilo water table iwe karibu kurahisisha uchimbaji wa visima.
5. Likiwa na mwinuko au kilima ndani itapendeza pia.
Njoo in box tuyajengeNi mpaka nifike Ofisini kwao ama hata kufanya Mawasiliano ya email ?
Ooh sawa nimekuelewaIli iwe malisho kwa Wanyama hasa Mbuzi.