Natafuta shamba la kukodi Mbeya, Songwe

Natafuta shamba la kukodi Mbeya, Songwe

kijana255

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Posts
277
Reaction score
261
Habari wakuu,

Kama kichwa cha habari hapo juu natafuta shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mahindi iwe Mbeya, au songwe kwa mwenye nalo au kama unaweza nisaidia mwaka huu nataka nijikite kwenye kilimo cha mahindi au maharage.

Contact~0673714012.
 
Back
Top Bottom