Natafuta Shamba Mapinga

Riwa

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2007
Posts
2,607
Reaction score
3,079
WanaJamii,

Natafuta shamba la eka 2 au 3 maeneo ya Mapinga au Kerege. Mwenye nalo au connection tafadhali niDM. Lire Karima na line ya même na pare na uhakika wa maji ya kwa kuchimba kisima kirefu (borehole).

Dr Riwa.
 
Kuwa makini sana na matapeli. Maeneo ya Mapinga, Kerege na Bagamoyo kwa ujumla.
 
WanaJamii,

Natafuta shamba la eka 2 au 3 maeneo ya Mapinga au Kerege. Mwenye nalo au connection tafadhali niDM. Lire Karima na line ya même na pare na uhakika wa maji ya kwa kuchimba kisima kirefu (borehole).

Dr Riwa.
Neenda kimbo complex kuna ofisi za realestate wanao uza viwanja mapinga bei yao ni 11000@ Square meters
 
Neenda kimbo complex kuna ofisi za realestate wanao uza viwanja mapinga bei yao ni 11000@ Square meters
Unamaanisha Kibo Complex ya Tegeta?

Natafuta kinyama kiwanja kuanzia sqm. 500 maeneo ya Mapinga.
Tatito kila nikitafuta namba ya dalali muaminifu sipati.
 
Nikuunganishe na madalali wa Mapinga... mimi niko hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…