concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
wadau mwenye kuweza kunisaidia kupata shamba la kununua morogoro lililo karibu na mto usiokauka. budget yangu ni 120000/ acre na napenda nipate walau acre 50 mwenye nalo tuwasiliane kwa mail. [email protected] au nipige pm nitamtumia namba