The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Check kisaraweBonjour
Wakuu , mwaka huu nataka kulima mihogo , ila nasikia Huko mkuranga mihogo inakubali sana
Sasa, kama mtu anaweza kunisaidia kupata shamba huko , naomba anichek 0742596431
Sio lazima mkuranga, popote tu ambapo hogo linakubali ,
umepata subiri mkuuBonjour
Wakuu , mwaka huu nataka kulima mihogo , ila nasikia Huko mkuranga mihogo inakubali sana
Sasa, kama mtu anaweza kunisaidia kupata shamba huko , naomba anichek 0742596431
Sio lazima mkuranga, popote tu ambapo hogo linakubali ,
Mkuu namba yako napga haipatikaniBonjour
Wakuu , mwaka huu nataka kulima mihogo , ila nasikia Huko mkuranga mihogo inakubali sana
Sasa, kama mtu anaweza kunisaidia kupata shamba huko , naomba anichek 0742596431
Sio lazima mkuranga, popote tu ambapo hogo linakubali ,
Rudia tenaMkuu namba yako napga haipatikani
Nimpega sana haipatikanRudia tena
Atawasha simNimpega sana haipatikan
Nipo hapa mkuu, nasubiriaumepata subiri mkuu
Imewaferisha kivipi ?KWNN MIHOGO.IMEFELISHA WENGI SANA
Nitumie ujumbe WhatsappMkuu namba yako napga haipatikani
Mkuu kama upo tayari Nipe no nikupgie twende sasahiv nikakuonyeshe mashambaNitumie ujumbe Whatsapp
Sasa mnaweka vitishoUnasikia sio, jichanganye
Nitext au pigaNitumie ujumbe Whatsapp
Shukrani sana mkuuNyie mnaomtishia jamaa nawashangaa sana.
Hivi mnajua anaingia na aina gani ya kilimo,au amejipanga vp?
Je ni wore wanaofanya kilimo cha mihogo wanaishia kuinywea chai na kukosa choo?
Alishafanya tafiti kwenye eneo hilo akaona ana uwezo wa kulihimili ndio maana ameingia.
Mafanikio huanza pale unapotake risk kufanya mambo ambayo wengine wamefeli kuyafanya.
Ndugu mtoa mada nakutakia mema katika safari yako hiyo.
Na ukipata heri katika hilo usisahau kutoa mrejesho ili tujifunze pia katika hilo.
Lakini pia ukikwama omba msaada naamini hapa kuna wataalamu wengi sana wa kilimo.