Natafuta shamba

Natafuta shamba

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Bonjour

Wakuu , mwaka huu nataka kulima mihogo , ila nasikia Huko mkuranga mihogo inakubali sana

Sasa, kama mtu anaweza kunisaidia kupata shamba huko , naomba anichek 0742596431

Sio lazima mkuranga, popote tu ambapo hogo linakubali ,
 
umepata subiri mkuu
 
Mkuu namba yako napga haipatikani
 
Nyie mnaomtishia jamaa nawashangaa sana.
Hivi mnajua anaingia na aina gani ya kilimo,au amejipanga vp?
Je ni wore wanaofanya kilimo cha mihogo wanaishia kuinywea chai na kukosa choo?
Alishafanya tafiti kwenye eneo hilo akaona ana uwezo wa kulihimili ndio maana ameingia.

Mafanikio huanza pale unapotake risk kufanya mambo ambayo wengine wamefeli kuyafanya.

Ndugu mtoa mada nakutakia mema katika safari yako hiyo.
Na ukipata heri katika hilo usisahau kutoa mrejesho ili tujifunze pia katika hilo.

Lakini pia ukikwama omba msaada naamini hapa kuna wataalamu wengi sana wa kilimo.
 
Shukrani sana mkuu

Mimi nashangaa wananitishia, lakini hawaweki solution juu ya hizo risk wanazo hisi sitafanya vizuri..

Kama changamoto ni soko, mtu aseme na aseme solution zake, au hali ya hewa, magonjwa , vitu kama hivyo
 
Back
Top Bottom