Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Kumbe sometimes we jamaa unaongeaga point aisee...Wewe ndo unaosema hivyo kwamba ni sawa kuchagua yoyote, lkn huyo shombe shombe unayemtafuta hatokuona hivyo kwani wewe kwake ni daraja la chini, na anatafuta shombe shome mwenzake na siyo wewe, sasa kwanini ukubali Binadamu mwingine akushushe hivyo?
Mungu hakukuumba ili uwe dhaifu, bali alikuumba ujithamini na kujipenda, na siyo kutaka kuwepo mahali ambapo hautakiwi, hiyo ni dhambi!
Safi sana.