Natafuta Shughuli yoyote Kipindi Hiki cha Likizo!

Natafuta Shughuli yoyote Kipindi Hiki cha Likizo!

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Heshima yenu Makamanda!

Wakubwa mimi ni Mwanafunzi wa University fulani hapa Nchini, Ninasomea Uhandisi wa Ujenzi, Maji na Barabara!
Kwa sasa baada ya kumaliza mwaka wa Masomo 2017/2018 tumepata likizo mpaka Mwezi novemba.. sasa kwa muda huu wa likizo kidogo natamani nijishughulishe na Shughuli ambayo inahusiana na field yangu!, Sipendi kukaa free.. nataka kuwa busy hasa na career yangu!

Ujuzi wangu Mpaka sasa!

1. Naweza kusoma Mchoro kwa ufasaha
2.Naifahamu surveying vizuri na kutumia vifaa kama total station na vingine!
3.Nafahamu Concrete vizuri na Concrete Quality Control
4.Pia Naifahamu kutumia AutoCAD
5.vivo hivyo nina uwezo wa kuwasiliana vizuri na mafundi site!

Kama unafahamu Kampuni yoyote ile inayojihusisha na Majengo, Barabara au Maji na inahitaji Skilled Person wa level yangu naomba unijulishe ukiweza ni PM

Asanteni!

Santana
 
Back
Top Bottom