Natafuta shule bora za High school (ada chini ya 2 Milioni)

Dopaflex

New Member
Joined
May 7, 2023
Posts
3
Reaction score
5
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.

Asanteni sana wakuu
 
Private chini ya milioni 2 huduma zake huwa ni mbovu ni bora uende government ujue moja.

Kwa bei hiyo nenda Jitegemee hapo ada laki 7 .
 
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.

Asanteni sana wakuu
Kwa ada hiyo kwa shule za private make sure kwamba unaenda kuiona na kujiridhisha vinginevyo usije kumlaumu mtoto.
 
Back
Top Bottom