Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE.
Nahitaji shule ya kujitolea angalau Kwa miaka miwili ili niwe competent kwelkwel.
MAHITAJI YANGU
Nahitaji shule ya kujitolea angalau Kwa miaka miwili ili niwe competent kwelkwel.
MAHITAJI YANGU
- Kijiji kiwe na umeme,
- Nauli ya kunileta Kijijini au huo mkoa (mnaweza kukata tiketi kabsa nyie mwenyew m nifike kupanda bus tu)
- Sehemu ya kulala
- Na chakula Kwa mwezi wa kwanza
- Mshahara mtanipa kwa jinsi mnavowalipa wengine wanaojitolea