Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Huko naenda kufanya biashara zangu pia Kijijini ni sehemu rahisi kutoa Kwa mujibu wa utafiti wangu kama itakua na pesa na mipango madhubutiHongera Ila Kama unajitolea jitolée katika NGO
Nataka Kijijini kwasababu Kuna michongo mingiKwann usijikite kwenye uafsa usafirishaji kwenu huko ukatoboa kuliko kwenda kukomalia laki mbili na nusu tena ya masimango ivi upo vzur kichwan kweli
Nataka Kijijini kwasababu Kuna michongo mingi
njo tufiatue matofali tujenge shule yetu nina kiwanja eka 6 hapa kijijini kuna umemeWakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE.
Nahitaji shule ya kujitolea angalau Kwa miaka miwili ili niwe competent kwelkwel.
MAHITAJI YANGU
- Kijiji kiwe na umeme,
- Nauli ya kunileta Kijijini au huo mkoa (mnaweza kukata tiketi kabsa nyie mwenyew m nifike kupanda bus tu)
- Sehemu ya kulala
- Na chakula Kwa mwezi wa kwanza
- Mshahara mtanipa kwa jinsi mnavowalipa wengine wanaojitolea