Assalam aleikum wana JF,, nawaombeni kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye kuju shule nzuri ya secondary maeneo ya karibu na Bunju,, nafadhari naoma sana unifahamishe,, binti yangu alitakiwa kuingia form 4 this year,, lakini kutokana na ukweli kuwa hakupata C 5 kama requirements pale shuleni kwao hakuchaguliwa kuendelea na shule. ningependa sana kama katika shule mtakazo nitajia za kidini iwe kipaumbele,, sisi ni waislam. Niko mbali sana kwa kweli Insha Allah narudi feb 2014 kwa vyoyote nitakuwa nimechelewa. tusaidiane kama wazazi,, na wanafamilia... natanguliza shukran
Ahalan wassahalan
unataka kuniambia hakuna seminari za kikristu?? mbona ziko nyingi tu,,, au kosa langu nikusema mm mwislam!! nimesema hivyo nkitaka mtoto elimu zote ikiwa pamoja elimu ya dini yake,,,,, na mm sijaroja hapa

Brother acha ligi bana. mtajie shule anayoitaka kama hujui kaa pembeni.Ni kweli kabisa, wakristo hasa wana hizo seminari, lakini pia wana hata zile ambazo hazina mipaka. Kama nia ni hiyo ya kumtaka apate na elimu ya dini yake, subiri waje wanaozifahamu za mlengo huo zilizokaribu na Bunju. Na mimi huo ndo ulikua mchango wangu.
unataka kuniambia hakuna seminari za kikristu?? mbona ziko nyingi tu,,, au kosa langu nikusema mm mwislam!! nimesema hivyo nkitaka mtoto elimu zote ikiwa pamoja elimu ya dini yake,,,,, na mm sijaroja hapa
Assalam aleikum wana JF,, nawaombeni kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye kuju shule nzuri ya secondary maeneo ya karibu na Bunju,, nafadhari naoma sana unifahamishe,, binti yangu alitakiwa kuingia form 4 this year,, lakini kutokana na ukweli kuwa hakupata C 5 kama requirements pale shuleni kwao hakuchaguliwa kuendelea na shule. ningependa sana kama katika shule mtakazo nitajia za kidini iwe kipaumbele,, sisi ni waislam. Niko mbali sana kwa kweli Insha Allah narudi feb 2014 kwa vyoyote nitakuwa nimechelewa. tusaidiane kama wazazi,, na wanafamilia... natanguliza shukran
Ahalan wassahalan
Brother acha ligi bana. mtajie shule anayoitaka kama hujui kaa pembeni.
Anyway, msumeno kuna shule ya Ununio ni ya kiisalamu na kule Kunduchi pia ipo Kunduchi girls nayo ni ya maadili ya dini yako.
Kunduchi girls academicaly wapo vizuri kuliko Ununio.
MLETE JOHN THE BAPTIST SEC.GIRLS, ipo basihaya, 0766988326
Sheikh mimi sijui lakini tuwasubbir wenye kujua waje. All the best
Utakua uko kwenye siku zako. Nakusamehe!kwani alikuuliza wewe?? Si ungekaa,kimya tuu?