msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Assalam aleikum wana JF,, nawaombeni kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye kuju shule nzuri ya secondary maeneo ya karibu na Bunju,, nafadhari naoma sana unifahamishe,, binti yangu alitakiwa kuingia form 4 this year,, lakini kutokana na ukweli kuwa hakupata C 5 kama requirements pale shuleni kwao hakuchaguliwa kuendelea na shule. ningependa sana kama katika shule mtakazo nitajia za kidini iwe kipaumbele,, sisi ni waislam. Niko mbali sana kwa kweli Insha Allah narudi feb 2014 kwa vyoyote nitakuwa nimechelewa. tusaidiane kama wazazi,, na wanafamilia... natanguliza shukran
Ahalan wassahalan
Ahalan wassahalan