Natafuta shule kwa ajili ya binti yangu

ahaaaa!! kumbe ndio maana mnafeli!!

halafu mnaanza kutuita sisi makafiri!

teh! nimetania jamani!!
 

mpeleke mwanao Nyasaka(mwanza) au Kirinjiko(Same)
 
mpeleke mhongoro progresive ,iko kahama but ci ya kidin..ni nzuri xana
 

nakuunga mkono..acha mtoto apate elimu kwanza mengne yapo tu
 
Mpeleke Modio Islamic Seminary iko Masama Kilimanjaro... Au Thaqaafa iko Mwanza
 
Baobab ni nzuri sana, na ipo kidini sana na kielimu japo hawabagui ila islamic wanapewa kipaumbele. .mapinga b/ moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…