Natafuta shule kwa ajili ya binti yangu

Natafuta shule kwa ajili ya binti yangu

ahaaaa!! kumbe ndio maana mnafeli!!

halafu mnaanza kutuita sisi makafiri!

teh! nimetania jamani!!
 
Assalam aleikum wana JF,, nawaombeni kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye kuju shule nzuri ya secondary maeneo ya karibu na Bunju,, nafadhari naoma sana unifahamishe,, binti yangu alitakiwa kuingia form 4 this year,, lakini kutokana na ukweli kuwa hakupata C 5 kama requirements pale shuleni kwao hakuchaguliwa kuendelea na shule. ningependa sana kama katika shule mtakazo nitajia za kidini iwe kipaumbele,, sisi ni waislam. Niko mbali sana kwa kweli Insha Allah narudi feb 2014 kwa vyoyote nitakuwa nimechelewa. tusaidiane kama wazazi,, na wanafamilia... natanguliza shukran

Ahalan wassahalan

mpeleke mwanao Nyasaka(mwanza) au Kirinjiko(Same)
 
mpeleke mhongoro progresive ,iko kahama but ci ya kidin..ni nzuri xana
 
Napata kama harufu ya ''udini'' vile, kama nakosea nisamehewe. Shule gani alikua anasoma? Naona umeweka limitation ktk shule za kidini na kuweka msisitizo kwamba ninyi ni waislamu katika maana hata hizo shule ziwe za mlengo huo. Mimi ni mkristo, kama kweli unataka mwanao asome, ningekushauri utazame hata shule zisizo na imani ya kiislamu hata zile za kikristo, wako waislamu wanapeleka watoto wao huko. Ngoja waje wengine na michango yao.

nakuunga mkono..acha mtoto apate elimu kwanza mengne yapo tu
 
Mpeleke Modio Islamic Seminary iko Masama Kilimanjaro... Au Thaqaafa iko Mwanza
 
Baobab ni nzuri sana, na ipo kidini sana na kielimu japo hawabagui ila islamic wanapewa kipaumbele. .mapinga b/ moyo.
 
Back
Top Bottom