Natafuta shule nzuri kwa kidato cha pili

Natafuta shule nzuri kwa kidato cha pili

Hollyreath

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
126
Reaction score
12
Habari ndugu zangu.

Naomba mwenye kuelewa shule nzuri ya serikali ya bweni. Iwe mchanganyiko au wasichana tu. Anisaidie... nataka nimfanye uhamisho wa mwanafunzi kwa kidato cha pili. Tafadhali isiwe mikoa ya kusini.

Natanguliza shukrani zangu
 
Msalato Dom, Tabora Girls, Kilakala Moro, Ruvu Pwani, Weru weru KLM, Loreza MBY , Songea Girls etc.
 
Msalato Dom, Tabora Girls, Kilakala Moro, Ruvu Pwani, Weru weru KLM, Loreza MBY , Songea Girls etc.

muyanga asante sana.. hizo za ruvu ,msalato na kilakala unazionaje zaidi
 
Ruvu performance ni wastani Msalato na kilakala ziko njema in terms of performance..
 
Ruvu performance ni wastani Msalato na kilakala ziko njema in terms of performance..

asante sana muyagha.. ubarikiwe ngoja nianze safari...ya kumsaka headmaster wa hizo mbili.. msaada wako kwa ushauri karibu sana
 
Nakutakia kila la kheri Hollyreath karibu sana..
 
mwenye kufahamu number za simu za head master wa kilakala sekobdari anisaidie..plz
 
Back
Top Bottom