Natafuta shule ya kufundisha (PCB)

Natafuta shule ya kufundisha (PCB)

Eugo

Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
39
Reaction score
1
Wana JF natafuta shule ya kufundisha (tempo) nimesoma masomo ya sayansi yaani PCB.
 
Nenda chuo wewe. Kama una kikwazo, jiandae kwa elfu 80 shule za kata vijijini
 
Wana JF natafuta shule ya kufundisha (tempo) nimesoma masomo ya sayansi yaani PCB.
Tafuta altenative nyingine wewe usiipoteze pcb yako kirahisi hivyo , kama matokeo hayakua mazuri kasome hata pre medicine mwakani uingie mzigoni ... Ukianza vitempo utanogewa utaona ndo maisha mwisho uende ualimu na unajua toka dunia imeanza walimu ni kulalamika tu
 
huo ndo ukwel.
 
Aweke matokeo yake hapa ili asaidiwe wengine hupata 0 au 4 halafu wanatafuta tempo hii si balaa
 
Back
Top Bottom