Natafuta shule za mahitaji maalum hasa Usonji kwa ajili ya mtoto wangu

Natafuta shule za mahitaji maalum hasa Usonji kwa ajili ya mtoto wangu

Mastabata

Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Hellow members, naomba kufahamishwa shule zilizopo dar zinazopokea watoto wenye uhitaji maalum, hasa usonji. Nina mwanangu ana hyo shida
 
Sikuhizi kunanongezeko la watoto wenye usonji,sijui hii inasababishwa na nn?
 
Back
Top Bottom