Natafuta shule za Nursery kwa Wilaya ya Kahama

Natafuta shule za Nursery kwa Wilaya ya Kahama

Tabulele

Senior Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
147
Reaction score
278
Habarini wadau,

Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama.

Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo.

Mtoto ana umri wa miaka 4 na ½
Naomba kuwakilisha
 
Habarini wadau. Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama. Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo.
Mtoto ana umri wa miaka 4 na ½
Naomba kuwakilisha
Kwema , mingas , rocken hill ,parkasi zipo nying tyu
 
Back
Top Bottom