Capogi jr.
Member
- Feb 14, 2014
- 49
- 7
Wadau poleni sana na kazi. Mi natafuta shule ya kusoma iwe private au govement nzuli yenye kombi ya egm. Kama zipo naomba unijulishe na kama ni za prvte naomba unielekeze japo sehemu ya kuzipata fomu zao za kujiunga na shule hzo. Asanteni wandugu kwa mchango wenu