T Truth sniper Senior Member Joined Jan 22, 2012 Posts 130 Reaction score 202 Jun 30, 2022 #1 Habari, Natafuta shule au kituo cha bweni kinachotoa elimu/mafunzo saidizi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (hasa utindio wa ubongo), kituo/shule hugo iwe kati ya mkoa Morogoro au Dodoma. Inaweza kuwa cha serikali au hata binafsi.
Habari, Natafuta shule au kituo cha bweni kinachotoa elimu/mafunzo saidizi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (hasa utindio wa ubongo), kituo/shule hugo iwe kati ya mkoa Morogoro au Dodoma. Inaweza kuwa cha serikali au hata binafsi.
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Jan 28, 2024 #2 Yani hivi vituo bongo ngumu kupatikana