Truth sniper
Senior Member
- Jan 22, 2012
- 130
- 202
Habari,
Natafuta shule au kituo cha bweni kinachotoa elimu/mafunzo saidizi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (hasa utindio wa ubongo), kituo/shule hugo iwe kati ya mkoa Morogoro au Dodoma. Inaweza kuwa cha serikali au hata binafsi.