Iwe na camera mbili yan ya mbele na ya nyuma na camera ya nyuma isipungu 5megapixel.
Iwe na 3G.
Na android os yake iwe inaweza kuwa upgradable mpaka 4.1.2 jell bean.
Isizidi sh laki mbili
Kwa mawasiliano
0712 338 291
Tecno m7 bei gani k,koo
Kuna Samsung Nexus S! Kama uko tayari nicheki hapa 0787577755.
Nexus ina kamera nyumba na mbele?