Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
- Thread starter
- #21
Je una ujasiri wa kuangalia nikutajie. Zinatisha kweli kweli.
Horrow movies ndio movies zangu napenda kuziangalia
Nitajie tu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je una ujasiri wa kuangalia nikutajie. Zinatisha kweli kweli.
Horrow movies ndio movies zangu napenda kuziangalia
Ya Ulimboka na Bonge La Pori La Mabwepande!!!!!!!!!!!!!!!! Sterling Rama Ighondu. Ni Bonge La Muvi Na Utamu Wake Upo Pale Mlengwa Anapong'olewa Kucha Na Meno Kwa Bisibisi, Anapochomwa Sindano Za Machoni na Kubanwa Kama Si Kubinywa MBUPU ( Tasfiri Mwenyewe Kinyume ) huku Akinyolewa ZIVUMA ( Tafsiri Mwenyewe Kinyume ) Kwa Vipande Vya Chuma na Naamini Sinema Hilo Litakidhi Haja na Mahitaji Yako Haswa Ya Kuhuzunishwa.
Usikubali, mwite Q man akutupie Like
Katoweka
Wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni kwamba natafuta sinema ambazo zinahuzunisha kiasi cha kumtoa mtu machozi.
Nawasilisha.
Hilo sinema nitalipata wapi mkuu? Manake hilo movie lilileta sekeseke kubwa na limesababisha Ulimboka ajifiche/afichwe mpaka sasa sijui yuko wapi?
Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya.Wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni kwamba natafuta sinema ambazo zinahuzunisha kiasi cha kumtoa mtu machozi.
Nawasilisha.