Natafuta single mother

Natafuta single mother

Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza, natafuta mwanamke aliezalishwa tayari (singe mother) niwe nae katika mahusiano na kama Mungu akipenda NDOA itafuata

Zingatia vigezo ( awe ana mtoto tayari)

Mkoa wowote
Dini yoyote
Rangi,kimoja,umbo sichagui
Hata akiwa "four figure" unatambaa naye?Wewe ni zaidi ya noma.
 
Uzi wako wa kutafuta mchumba mwaka 2021 umeandika hutaki Single mother.. imekuwaje sasa hiv unawataka!? Kwaajili ya kafara nn
 
Back
Top Bottom