Natafuta Soko la Alozera

Natafuta Soko la Alozera

Msukusu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
234
Reaction score
451
Wapendwa poleni sana na majukumu ya kikazi. Mimi ni Mjasiriamali ambaye nimejikita haswa kwenye Biashara ya Mazao.

Kwa sasa natafuta Soko la Alozera, kama unahitaji takuuzia kwa Tsh. 5000 bei ya jumla, asanteni.
 
Wapendwa Poleni Sana Na Majukumu Ya Kikazi. Mimi Ni Mjasiriamali Ambaye Nimejikita Haswa Kwenye Biashara Ya Mazao.

Kwa Sasa Natafuta Soko La Alozera, Kama Unahitaji Takuuzia Kwa Sh 5000 Bei Ya Jumla Asanteni.
Upo mkoa gani?
 
Hapana Ni Aina Ya Mazao Ya Kuongeza Damu Mwilini, Kuna Aina Ya Viazi Na Majani. Ila Mimi Ninayo Ya Majani
Mkuu hayo ya kuongeza damu yanaitwa lozera (hibiscus) sio alovera
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom