Natafuta Soko la asali mbichi

Natafuta Soko la asali mbichi

Charles Kakala

New Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
3
Reaction score
3
Habari,

Nina dumu 200 za asali mbichi, Lita 20 natafuta wateja ziko Tabora, nzuri sana nyuki wakubwa, imevunwa mwaka Jana,kuhusu bei Lita 20 nauza 130,000 Kwa Kila dumu.
 
Habari,

Nina dumu 200 za asali mbichi, Lita 20 natafuta wateja ziko Tabora, nzuri sana nyuki wakubwa, imevunwa mwaka Jana,kuhusu bei Lita 20 nauza 130,000 Kwa Kila dumu.
Mambo vipi?
Hivi kwa Tabora asali inapatikana kwa wingi sehemu gani?
 
Back
Top Bottom