Ndunamputa
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 100
- 16
Wadau wana jf, salaam
mimi ni mjasiriamali mkazi wa Urambo mkoani Tabora. natafuta soko la asali ya nyuki wa kawaida. kuna mtu mmoja alinidokeza kwamba kuna tajiri mmoja ananunua jijini dar kwa bei ya jumla. naomba mwenye taarifa zaidi wapi lilipo soko na inanunuliwa kwa bei gani kwa dumu la lita 20 anijuze..