Natafuta soko la asali

Natafuta soko la asali

Ndunamputa

Senior Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
100
Reaction score
16
Wadau wana jf, salaam
mimi ni mjasiriamali mkazi wa Urambo mkoani Tabora. natafuta soko la asali ya nyuki wa kawaida. kuna mtu mmoja alinidokeza kwamba kuna tajiri mmoja ananunua jijini dar kwa bei ya jumla. naomba mwenye taarifa zaidi wapi lilipo soko na inanunuliwa kwa bei gani kwa dumu la lita 20 anijuze..
 
Kama upo serious nenda Dar kariakoo ukaulizie hasa kwa waarabu ambao wanauza dawa za asili. Pia waarabu ni wanunuzi wazuri sana wa asali kwa maana ni dawa na wanaisafirisha kwenda nchi za kiarabu kwa kua kule hakuna hiyo kitu na nchi zao ni jangwa tu. Sina uhakika na bei ya asali wa nyuki wa kawaida ila kuna wakati mie nilifuatilia bei ya asali ya nyuki wadogo ambayo ilikuwa ikinunuliwa kwa 15000 kwa lita. Kwa hiyo hiyo inaweza ikawa sio zaidi ya 8000 kwa lita coz wauzaji wengi huuza kwa 10000 kwa lita. Nenda Dar mkuu ukafanye research na upate mteja wa uhakika kwani hata wao hupenda mtu ambae ana supply kwa uhakika.
 
nashkuru sana mkuu kwa kunipa maelezo ya kutosha, ngoja nifanyie kazi maelekezo yako.
 
asali inauzwa kwa kilo, ukiuza kwa lita unapunjika, bei harisi ni elfu kumi kwa 1kg

nashkuru mkuu kwa kunijuza, je soko ni hapohapo kariakoo aliponielekeza mdau wa kwanza au kuna kwingine pia unapokufahamu kwenye soko la uhakika?
 
Back
Top Bottom