Natafuta Soko la Chainizi

Natafuta Soko la Chainizi

masause

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
53
Reaction score
97
Habai wakuu

Natafuta soko la chainizi kwa wenye kuhitaji shamaba lipo Morogoro, Berega ,na Nalenga kupata wateja toka sehemu za jirani kama Singida, Dar, Dodoma na Morogoro Mjini. Shambani panafikika kiurahisi maana lipo jirani na Barabara Kuu ya Dodoma

Nina uwezo wa kuvuna gunia mbili za chainizi
Ndoo mbili za nyanya chungu
Pilipili hoho ndoo kubwa kwa kila siku

Namba yangu ni 0684738720

Karibuni sana
 
Nenda sokoni moro mjini katafute connection huko

Ova
 
Chinese safirisha mpaka masoko ya Dar es Salaam uhakika unapiga hela ndefu
 
Sasa mkuu chainiz loba mbili kweli nitoke huku Kintinku nakuja huko kufuata mzigo mdogo hiv
 
Sasa mkuu chainiz loba mbili kweli nitoke huku Kintinku nakuja huko kufuata mzigo mdogo hiv
Kashakuambia ana uwezo wa kuvuna kila siku izo roba mbili na nyanya chungu debe mbili plus hoho.
Akipata mteja mwenye uhitaji anayelisha watu hapo morogoro ni uhakika.
 
Back
Top Bottom