asante mkuu ntafanya hivyoNenda sokoni moro mjini katafute connection huko
Ova
Kashakuambia ana uwezo wa kuvuna kila siku izo roba mbili na nyanya chungu debe mbili plus hoho.Sasa mkuu chainiz loba mbili kweli nitoke huku Kintinku nakuja huko kufuata mzigo mdogo hiv
AmeenKashakuambia ana uwezo wa kuvuna kila siku izo roba mbili na nyanya chungu debe mbili plus hoho.
Akipata mteja mwenye uhitaji anayelisha watu hapo morogoro ni uhakika.