Natafuta soko la dagaa la kuku jijini dar.

Natafuta soko la dagaa la kuku jijini dar.

Dagaa la kuku??? hii ni nini mkuu?? embu funguka zaidi? Elezea kitu kieleweke kwa wanaohitaji watakuja.
 
hata mie sijakulewa mkuu......
watafuta soko la kuku au watafuta soko la dagaa wa kulishia kuku??
 
kilo sh ngapi?delivered dar at factory.sample nitaipataje?mind u wa mboga kkoo wanauza kilo sh 3000
 
Dagaa la mwanza la kutengenezea chakula cha kuku namba zangu ni 0768492968 au 0715562073.
 
Back
Top Bottom