salvatory1003
Member
- Aug 24, 2014
- 7
- 0
Mimi in mfanyabiashara wa Samaki sato toka mwanza lakini nimejikuta nikikutana na wavuvi wakiwa na marundo ya kamongo(lungfish) bila kua na soko.natafuta soko la kamongo nianze kusuply kwa kilo zozote zile. Pia Sato wanapatikana home delivery call 0756308754