Natafuta Soko la Kamongo

Natafuta Soko la Kamongo

salvatory1003

Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Mimi in mfanyabiashara wa Samaki sato toka mwanza lakini nimejikuta nikikutana na wavuvi wakiwa na marundo ya kamongo(lungfish) bila kua na soko.natafuta soko la kamongo nianze kusuply kwa kilo zozote zile. Pia Sato wanapatikana home delivery call 0756308754
 
Kwa bei gani kwa kg hao sato, hata km ni kg moja unampelekea nyumbani ?
 
Back
Top Bottom