Kaka sijawahi kuwa na utani wala masiala ndio maana nimekua mdau kwenye huu uzi siku zote, nimeuliza kwa nia njema sana sana, umesema unao wengi, ndio at least useme wangapi, bei, na je ni kienyeji pure? Lengo ni kusaidiana, taarifa sahihi zinasaidia kupata wateja sahihi.
Nina nia njema sana, wangu walikufa kwahio in one way or another nilikua nina mpango wa kuongeza kuku wengine wa kienyeji, pure kienyeji ili nikusanye mayai na kuuza, this is very serious, kama umedhani nimefanya utani basi nisamehe, nipo Dar and I can help you.
Tena mtu wa home kabisa? Same na Usangi sio mbali aiseee. Nashauri andika vizuri hizo details tafadhali