Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
Acha utan mkuu, kama hauko tayari kusaidia ungeipita tu hii thread kama hujaionaWengi ndio wangapi? wana umri gani
Kaka sijawahi kuwa na utani wala masiala ndio maana nimekua mdau kwenye huu uzi siku zote, nimeuliza kwa nia njema sana sana, umesema unao wengi, ndio at least useme wangapi, bei, na je ni kienyeji pure? Lengo ni kusaidiana, taarifa sahihi zinasaidia kupata wateja sahihi.Acha utan mkuu, kama hauko tayari kusaidia ungeipita tu hii thread kama hujaiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza hivyo maana kuna wale jamaa wa Bagamoyo na yule wa Morogoro anao 15,000 yule wa Mafinga anao zaidi ya 20,000 ndio maana nauliza kwa nia njema sana sana, pia weka na bei ya kuanzia na je ni negotiable, wana umri gani? Ni pure kienyeji au kuna uchotaraNina kuku wengi wa kienyeji
Kuwa mpole unapofanya biashara.... Jaribu kujibu tu kwa weledi... Neno wingi lina tafsiri pana pia ni muhimu kutaja umri wa hao kuku pia... Watu wana matumizi mbalimbaliAcha utan mkuu, kama hauko tayari kusaidia ungeipita tu hii thread kama hujaiona
Sent using Jamii Forums mobile app
undefinedbei?Kuku ni wa kienyeji pure umri ni miezi 2-4
Kaka sijawahi kuwa na utani wala masiala ndio maana nimekua mdau kwenye huu uzi siku zote, nimeuliza kwa nia njema sana sana, umesema unao wengi, ndio at least useme wangapi, bei, na je ni kienyeji pure? Lengo ni kusaidiana, taarifa sahihi zinasaidia kupata wateja sahihi.
Nina nia njema sana, wangu walikufa kwahio in one way or another nilikua nina mpango wa kuongeza kuku wengine wa kienyeji, pure kienyeji ili nikusanye mayai na kuuza, this is very serious, kama umedhani nimefanya utani basi nisamehe, nipo Dar and I can help you.
Tena mtu wa home kabisa? Same na Usangi sio mbali aiseee. Nashauri andika vizuri hizo details tafadhali
Uliza tutajibiana hivyo hivyo tuNineona jibu lake nikasita kuuliza swali. Maana mimi ni wagonja bombo hapo juu tu Betheli na nimfugaji nipo Tanga.
Nina maswali na shindwa hata kumuuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda soko la tegeta na Africa sana DSMNina kuku wengi wa kienyeji nataka kuwauza nipo Gonja Maole- Same, Kilimanjaro kama kuna mtu anafahamu soko zuri la kuku kwenye mikoa nilio taja anijuze tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uliza tu me naishi Pabilic ila ufugaji nafanyia Mdalian ni njian ukiwa unaenda huko BomboNineona jibu lake nikasita kuuliza swali. Maana mimi ni wagonja bombo hapo juu tu Betheli na nimfugaji nipo Tanga.
Nina maswali na shindwa hata kumuuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jforum bwana hivi mnazani kila MTU anaishi dar?Tafuta vifungashio,leseni n.k wakaange,tembeza kwenye maofisi...utapiga ela na utakuwa umekuja na Idea mpya kama yule wa makande.
ha ha ha ha,hapana mkuu si lazima aishi dar na si lazima awauzie majirani zake;Afuate ule ushauri,atafute vijana afanye kazi.Na kama atakuwa na vibali anaweza kuwa na wakala.Yaani jforum bwana hivi mnazani kila MTU anaishi dar?